Klabu ya Chelsea wameweka mipango ya kumsajili mshambulizi wa Sevilla, Jules Kounde punde tu baada ya kukamilika kwa uhamisho wa Todd Boehly na vikwazo kumalizika.

Kounde anatarajia kuchukua nafasi ya Antonio Rudiger na Andreas Christensen wanatarajiwa kujiunga na Real Madrid na Barcelona mtawaliwa mwishoni mwa msimu baada ya mikataba yao kumalizika.

 

chelsea, Chelsea Kukamilisha Dili la Kounde Baada ya Vikwazo Kuondolewa., Meridianbet

Kounde, 23 alifikia makubaliano binafsi na Chelsea majira ya kiangazi msimu ulioisha lakini dili hilo lilivunjika baada ya Sevilla kuongeza dau zaidi kumuachia mchezaji huyo.

Meneja wa Chelsea, thomas Tuchel alipata chakul acha mchana na anaetarajiwa kuwa mmiliki mpya, Todd Boehly ambapo hawakuongelea kuhusu usajili lakini wanatarajiwa kukutana tena wiki ijayo baada ya ligi kuisha.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa