Mchezaji nyota wa klabu ya Manchester United ambaye mkataba wake unakwenda kuisha kwenye majira ya kiangazi Paul Pogba amefanya mazungumzo na klabu mbili kuhusu uwezekano wa kuhamia kwenye vilabu hivyo.

Paul Pogba mwenye miaka 29 ambaye mkataba wake unaisha mwishoni mwa msimu huu na amepanga kufungasha vilago vyake kuondoka kwenye viunga vya Old Trafford. Huku kukiwa na taarifa za hivi karibuni zikimhusisha kuhamia kwenye klabu ya Man City pia.

Paul Pogba

Kulingana na taarifa za Daily Mirror, Paul Pogba anatarajiwa kujiunga na klabu moja wapo kati ya Juventus au PSG kwenye majira ya kiangazi, kutokana na kufungua uwanja wa maongezi na vilabu hivyo.

Kuna taarifa zinasema kuwa klabu ya PSG imemuwekea kiasi cha £350,000 kama mshahara wake kwa wiki ili kujiunga na mabingwa hao wa Ufaransa, lakini Juventus haiwezi kuondolewa japo imetenga kiasi kidogo cha mshahara wake sababu amekuwa Turin kwa muda na kucheza kwa mafanikio hapo.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa