Klabu ya Paris Saint Germain (PSG) wamepeleka ombi la kutaka kumsajiri kiungo wa klabu ya manchester united anayemaliza muda wake kwenye klabu hiyo Paul Pogba baada ya kkataa mkataba ambao klabu yake ilimuandalia.

Paul Pogba mkataba wake wa sasa na klabu ya Manchester United unaisha majira ya kiangazi, Pogba kwa sasa yuko huru kuzungumza na klabu yoyote ambayo atahitaji kufanya nayo mazungumzo, wakati akiwa kwenye majukumu yake kimataifa alisema kuwa hajafanya mazungumzo na klabu yoyote.

PSG wanataka kuhakikisha kuwa wanainasa saini ya kiungo huyo kabla ya klabu yake ya Juventus kufanya hivyo ili kuweza kuimarisha nafasi ya kiungo wa kati ambaye anaweza cheza box to box, na pogba ndi anaoneka kuwa mtu sahihi kwa sasa.

Pogba anaweza kujiunga na PSG kutokana na ushawishi lakini inaeleweka kuwa yeye angependa kurejea kwenye klabu ya Juventus, pia klabu ya Real Madrid nayo inaonesha nia ya kuhitaji huduma yake japo mpaka sasa hawajatoa offer yoyote wala kusema lolote.


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa