Klabu ya Wanawake ya Chelsea imefanikiwa kubeba ubingwa wa Ligi kuu ya wanawake WSL baada ya kuibamiza klabu ya wanawake ya Manchester United kwa Magoli 4-2.

Chelsea waliokuwa wanafukuzwa kwa karibu ya Arsenal, walitokea nyuma wakiwa 2-1 katika kipindi cha kwanza baada ya kuanza vibaya mchezo huo walikuwa katika uwanja wa nyumbani.

 

chelsea, Chelsea W Watwaa Ligi ya Wanawake WSL., Meridianbet

 

 

Magoli ya Martha Thomas na Ella Toone kutoka Manchester United katika kipindi cha kwanza hayakutosha kuwazuia baada ya majibu ya mabao mawili kutoka kwa Sam Kerr na Guro Reiten yaliyoifanya The Blues kutwaa ubingwa huo.

Chelsea wamechukua ubingwa wa WSL kwa tofauti ya alama moja mbele ya Arsenal iliyoshinda kw amagoli 2-0 mbele ya West Ham na kumaliza katika nafasi ya pili.

Mchezo huo umekifanya kikosi cha kocha Emma Hayes kutwaa taji la tatu mfululizo la WSL.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa