Ripoti kadhaa zinadai kuwa Chelsea wapo mbioni kupata saini ya mchezaji beki wa PSG Kimpembe baada ya ujio wa Sergio Ramos pale PSG akiwa kama mchezaji huru.

Kimpembe ambaye amekuwa akicheza nafasi ya beki kwa muda pale PSG. Ujio wa Ramos katika klabu hii kunaweza kuwa tishio kwake lakini ripoti za ndani zinadai kuwa Kimpembe hana mpango wa kutimka mpaka atakapoona namba yake kikosi cha kwanza.
Chelsea wanaelezwa kuwa wapo makini sana kuangalia maendeleo ya hali ya beki huyu kufuatia namna ambavyo wanaona umuhimu wa nyota huyu.
Tuchel amedaiwa kuwa wanaweza kumuuza Zouma ambaye amukuwa shabaha ya Mourinho kwa muda sasa!
Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!



Ernest
Kama Chelsea watafanikiwa kumnyakua Kimpembe basi watatisha sana msimu ujao kwenye ukuta