Chiesa Aikataa Ofa ya Kujiunga na Ligi ya Saudi Arabia

Nyota wa Juventus Federico Chiesa ameripotiwa kukataa ofa nono kutoka Saudi Arabia hivi majuzi, akitaka kuendelea kucheza mjini Turin.

 

Chiesa Aikataa Ofa ya Kujiunga na Ligi ya Saudi Arabia

Winga huyo wa Kiitaliano mwenye umri wa miaka 25 hakuwa na msimu rahisi msimu uliopita, alikosa miezi michache ya kwanza kutokana na kupasuka kwa ligament yake, baada ya kurejea katika kipindi cha baada ya Kombe la Dunia, alijitahidi kujenga utimamu wake na kumaliza msimu wa Serie A akiwa na mechi sita pekee.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Ripoti za hivi punde za vyombo vya habari zinaonyesha kuwa Juventus wako tayari kuwauza Chiesa na Vlahovic msimu huu wa joto, jambo ambalo limezua wasiwasi miongoni mwa mashabiki.

Chiesa Aikataa Ofa ya Kujiunga na Ligi ya Saudi Arabia

Tuttosport inaelezea jinsi Chiesa alivyofuatiliwa na vilabu vinne vya Saudia vinavyoungwa mkono na PIF – Al-Ittihad, Al-Hilal, Al-Ahli na Al-Nassr – mwezi uliopita, ambao walimpa kandarasi ya miaka mitatu yenye thamani ya karibu €20m.

Winga huyo wa Juventus alikataa mara moja ofa hiyo kupitia kwa wakala wake Fali Ramadani, hakutaka kuongeza mazungumzo zaidi.

Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Chiesa Aikataa Ofa ya Kujiunga na Ligi ya Saudi Arabia

Chiesa ana nia ya kufikia utimamu wa mwili na kujikomboa katika msimu ujao baada ya kipindi kigumu kufuatia jeraha la kano.

Acha ujumbe