mkapa stadium

Maafisa wa CAF jana walifika Tanzania na kufanya ukaguzi wa uwanja wa taifa wa Benjamin Mkapa, ikiwa ni maandalizi ya mashindano ya kimataifa na kuandaa kashindano ya AFCON 2027. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Maafisa hao wa CAF walioneshwa kuridhiashwa na maboresho yaliyofanya na Serikali ikiwa ni juhudi za kutanua wigo wa michezo.

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Tamaduni, Sanaa na Michezo ilitenga kiasi cha Tsh Bil 31 kwaajili ya ukarabati wa maeneo kadhaa kwenye dimba la Mkapa.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.


Ikumbukwe tangu kukamilika kwa ujenzi wa uwanja wa Mkapa mwaka 2007 haukuwahi kufanyiwa ukarabati mkubwa mpaka hii leo ambapo CAF iliagiza viwanja vitumikavyo kwenye mashindano ya Kimataifa vifanyiwe maboresho.

 

Odds kubwa Meridianbet
Rais wa TFF Wallace Karia akiwa na Viongozi pamoja na Maafisa wa CAF wakati wa ukaguzi wa Uwanja wa Benjamin Mkapa. DSM

Maboresho hayo yatagusa taribani sehemu 30 kwa wakati mmoja. Maeneo hayo ni kama vile;

Vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji, chumba na maeneo ya waandishi wa habari, viti vyote vilivyo uwanjani, mfumo wa matangazo, luninga ya kisasa uwanjani, eneo la matajiri, lifti mbili mpya.

Na pia mifumo ya tehama, mifumo ya vyoo, eneo la kuchezea mpira (pitch), magoli na nyavu, eneo la kupigia kona, eneo la kukimbia riadha, mfumo wa maji eneo la kuchezea, mgahawa, mfumo wa AC, mfumo wa umeme mfumo wa kisasa wa VAR.

Maeneo mengine ambayo ukarabati huu utayagusa moja kwa moja ni eneo la kukaa wachezaji wa akiba na benchi la ufundi, eneo la wageni mashuhuri, vyumba vya kupumzika vya watu mashuhuri, ofisi za ndani ya uwanja, chumba cha waamuzi, eneo la Gym, maboresho ya taa zote za uwanjani na eneo la kuingilia uwanjani.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Tanzania kwa kushirikiana na Uganda na Kenya zimeomba kuandaa michuano ya AFCON ifikapo mwaka 2027, na tayari juhudi zimeanza kuoneshwa na Serikali ikiwemo kutenga Tsh Bilioni 31 za ukarabati wa viwanja kama vile Benjamin Mkapa, CCM Kirumba-Mwanza na viwanja vingine vya michezo. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa