Eriksen Atuliza Mashabiki Ujio wa Rasmus Hojlund

Rasmus Hojlund

Christian Eriksen amewaambia mashabiki wa Manchester United kitu gani watarajie kutoka kwa mshambuliaji anayekuja Rasmus Hojlund. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Alipoulizwa jinsi mtani wake wa Denmark mwenye umri wa miaka 20 alivyo-Rasmus Hojlund, alisema: “Yeye ni nambari tisa.

“Amekua sana katika mwaka uliopita tangu nilipomuona kwa mara ya kwanza akiwa na timu ya taifa muda wa mwaka mmoja, kwa hivyo, ndio, ni mchezaji mzuri sana.”

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Eriksen aliongeza: “Rasmus Hojlund ni mtu mzuri, ni mchezaji mzuri. Kama nilivyosema, amekua na kukwa namba tisa ambayo ameichezea timu ya taifa.

Rasmus Hojlund

“Lazima niwe mkweli sijaona mechi nyingi kama hizo kwa Atalanta, lakini najua jinsi wanavyocheza na aliingia vizuri hapo, kwa hivyo, ndio, ni mchezaji mzuri.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

“Nilizungumza naye kuhusu United tulipokuwa na timu ya taifa mara ya mwisho,mnamo Juni. Lakini bila shaka, nimesema mambo mengi mazuri, na pia nimesema mambo mabaya, lakini mwishowe ndicho kitakachotokea.” Alisema Christian Eriksen

Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Acha ujumbe