Dabi ya Madrid Leo Patachimbika.

 

Katika dimba la Santiago Bernabeu leo nyasi zitawaka moto katika mchezo wa Dabi ya kwanza ya Madrid kati ya Real Madrid dhidi ya Atletico Madrid ndani ya msimu huu.

 

Real Madrid wanaongoza katika msimamo wa ligi kuu ya La liga wakiwa na alama 36 baada ya kushinda mechi 12 kati ya mechi 16 walizocheza msimu huu.

Atletico Madrid wakiwa nafasi ya 4 ya msimamo tofauti ya alama 7 baina yao na viongozi wa ligi, wakiwa wamejikusanyia alama 29 baada ya mechi 15 walizocheza msimu huu.

Real wakiwa nyumbani Santiago Bernabeu wanataka kuendeleza rekodi yao baada ya kupata ushindi katika mechi tisa mfululizo katika michuano yote, wakiwa na kumbukumbu ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Real Sociedad wikiendi iliyopita.

Wikiendi iliyopita katika dimba la Wanda Metropolitano, Real Malloca waliwaduwaza Atletico waliokuwa nyumbani baada ya kunyoosha 2-1 bila huruma.

Mchezo wa mwisho wa Dabi katika uwanja wa Santiago Bernabeu ulipigwa mwaka 2020 na Real aliibuka na ushindi wa 2-0 nyumbani. Leo nani ataibuka kidedea katika dabi hii, Ungana na mabingwa kuweka bashiri zako hapa:https://mrdn.co/bashiri20


AGENT JANE BLONDE AMEREJEA MSIMU WA SIKUKUU.

Unaweza kujishindia mamilioni katika kasino yako pendwa ya meridianbettz, mchezo wa Agent Jane Blonde Return ni moja ya michezo inayopendwa kwasasa huku ikiwafanya wachezaji kuwa mamilionea kila siku. Unasubiri nini! ungana na Agent Jane Blonde akufanye milionea.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.