Mcheza Tenisi namba moja kwa ubora duniani, Novak Djokovic amezungumzia huzuni yake juu ya kufungwa kwa kocha wake wa zamani Boris Becker.

Bingwa huyo wa zamani wa Wimbledon mara tatu, amefungwa miaka miwili na nusu siku ya Ijumaa kwa kuficha mali zake na mikopo yenye thamani ya £2.5m ili kukwepa kulipa madeni yake.

 

djokovic, Djokovic Asikitishwa Becker Kufungwa., Meridianbet

Becker alisalia kuwa maarufu baada ya kustaafu kupitia kazi yake kama mchambuzi wa TV na kama kocha aliyefanikiwa wa Djokovic kwa miaka mitatu kuanzia Desemba 2013.

Akizungumza kuelekea michuano ya wazi ya Madrid, Djokovic alisema: “Nimeumia sana moyoni. Ni rafiki, rafiki wa muda mrefu, kocha wa miaka mitatu, minne, mtu ambaye ninamuona wa karibu sana katika maisha yangu na amechangia kwa kiasi kikubwa mafanikio yangu na kazi yangu.

“Sitaingia kwa undani kuhusu hukumu hiyo, kwa sababu siko katika nafasi ya kufanya hivyo, lakini, kama rafiki yake, nina huzuni kubwa kwake. Sio mengi ambayo unaweza kusema.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa