Champions League: Kimbembe Valencia Vs Juve

Ligi ya mabingwa sasa inaanza kuwa ya moto kwenye hatua za makundi! Ni Rodrigo au Ronaldo? Valencia wanamkaribisha Juventus Jumatano tarehe 19 Septemba kwenye dimba la Mestalla katika ufunguzi wa Champions League hatua ya makundi.

Juve watakua wanajiamini kushinda Champions League mwaka huu baada ya kumpata mkali Christiano Ronaldo kutoka Real Madrid ambaye aliwachapa msimu uliopita kwenye robo fainali.

Lakini wanayo kazi ya kufanya kuanzia kwenye kundi H ambako safari inaanzia anakutana na Manchester United  Valencia na Young Boys! Hapa tunakupatia majina ya wachezaji wanaoenda kuunda vikosi vya mpambano huu wa kibabe Jumatano hii.

Valencia

Makipa: Jaume Domenech,  Norberto Neto, Cristian Rivero

Walinzi: Ruben Miguel, Jeison Murillo, Gabriel, Mouctar Diakhaby, Jose Gaya, Lato, Cristiano Piccini, Ezequiel Garay, Javier Jimenez, Alejandro Centelles

Viungo: Geoffrey Kondogbia,  Goncalo Guedes, Carlos Soler, Daniel Parejo, Denis Cheryshev, Francis Coquelin, Daniel Wass, Ferran Torres, Uros Racic, Alex Blanco

Washambuliaji: Kevin Gameiro, Rodrigo, Santiago, Michy Batshuayi, Jordi Escobar Fernandez, Kangin Lee

Juventus

Makipa : Wojciech Szczesny, Carlo Pinsoglio, Mattia Perin

Walinzi : Mattia De Sciglio, Giorgio Chiellini, Medhi Benatia, Alex Sandro, Andrea Barzagli, Leonardo Bonucci, Joao Cancelo, Daniele Rugani

Viungo: Miralem Pjanic, Sami Khedira, Blaise Matuidi, Emre Can, Rodrigo Bentancur, Federico Bernardeschi

Washambuliaji: Cristiano Ronaldo, Paulo Dybala, Douglas Costa, Juan Cuadrado, Mario Mandzukic

5 Komentara

    asante meridian kwa habar zenu

    Jibu

    Nice update 👍
    #meridianbettz

    Jibu

    Makala nzuri

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

Acha ujumbe