Huu ni wakati wa mawakala wa wachezaji kutengeneza pesa. Hayati Mino Raiola alikuwa “master” wa nyakati hizi. Swahiba wake, Jorge Mendes anashika hatamu sasa hivi.

Mendes ni wakala wa wachezaji wengi barani Ulaya. Cristiano Ronaldo ni miongoni mwao. Wakati dirisha la usajili likiwa wazi wakati huu, FC Barcelona ni timu inayofatiliwa kwa ukaribu.

Mendes, Mendes Ampeleka Soler Barca?, Meridianbet

Hali ya kiuchumi kule Camp Nou ni mbaya, wanapambana kwa kila hali kuweka hali sawa. Hii inaifanya timu hii kulazimika kuwaweka sokoni baadhi ya wachezaji wao wenye gharama kubwa sokoni.

Wakati Frankie De Jong akihusishwa zaidi na Manchester United, Mendes anaripotiwa kumpendekeza Carles Soler kwenye uongozi wa Barca. Pendekezo hili ni ishara ya uhalisia ya kinachosemwa kati ya United na De Jong.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa