Klabu ya Leeds United wamefikia makubaliano na Marc Roca kwenye vipengele binafsi kwa dili ya miaka minne ingawa Bayern Munich wanataka ada ya uhamisho kiasi cha €15m na mazungumzo bado yanaendelea.

Jesse Marsch anamtaka kiungo Marc Roca huko Elland Road ilikuongeza nguvu kwa msimu unaokuja na bado yupo katika harakati za kuendelea kuiboresha kikosi cha Leeds kwa kusajili wachezaji.

Ripoti za awali zilidai Leeds wantaka kumleta Uingereza kwa dau la €11.6 lakini miamba wa Bavaria wanataka zaidi ya euro milioni 15 kwa mujibu wa taarifa.

Bayern walimsajili Ryan Gravenberch kutoka Bayern wiki hii hivyo watataka kumuuza Roca ili klabu ipate pesa za kuendela na usajil wa wachezaji wengine.

Roca mwenyewe binafsi anahitaji kuondoka Bayern sababu anataka kupata muda wa kucheza tofauti na ilivyo kwa Bayern Munich.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa