Tottenham wamefikia makubaliano na klabu ya Brighton katika dili ya kumsajili Yves Bissouma kwa dau la £25m na mchezaji huyo anajiandaa kwajili ya kufanyiwa vipimo siku ya Alhamisi.

Spurs Wahafikiana na Brighton kwa Uhamisho wa Bissouma
Yves Bissouma

Usajili wa kiungo huyo unakuwa ni usajili wa tatu kwa Antonio Conte wakati wa dirisha linaloendela majira hay ya kiangazi baada ya kuwasajili Fraser Forster na Ivan Perisic.

Bissouma amekuwa akiichezea Brighton tangu mwaka 2018 alipojiuga akitokea Lille na amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake wa sasa kwa hivyo Seagulls wameona bora wamueza sasa iliwatenegeneze faida kuliko kumuacha aondoke bure mwakani.

Bissouma alikuwa kwenye rada za Liverpool, Arsenal na Aston Villa lakini hatimaye anaelekea Tottenham ambao wanaimaraisha kikosi chao kulekea msimu 2022-23 ambapo watashiriki Ligi ya Mabingwa baada ya kumaliza nafasi ya nne msimu uliyopita.

Spurs pia wanamtolea macho mchezajiwa kimataifa wa Brazil Richarlson vilevile Conte anahaitaji wachezaji wengine wanne, mabeki wawili kiungo mmoja na fowadi mmoja.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa