United na Chelsea Zinamfukuzia Joao Felix

Mchezaji wa Ureno na timu ya Atletico Madrid Joao Felix anatafuta kuondoka katika klabu yake huku Manchester United na Chelsea zikitajwa kuwa ni timu ambazo zinavutiwa na mchezaji huyo.

 

United na Chelsea Zinamfukuzia Joao Felix

Joao Felix ana umri wa miaka 23 alikuwa kwenye ukurasa wa mabao baada ya kumaliza vyema katika mchezo wao walioshinda kwa 3-2 dhidi ya Ghana siku ya Alhamisi  lakini mustakabali wake wa klabu unaonekana kutokuwa na uhakika.

Marca wanasema mshambuliaji huyo  amemwambia wakala wake Jorge Mendes kumtafutia klabu mpya baada ya kuanza mechi tano tu kati ya 13 za LaLiga akiwa na Atletico hadi sasa msimu huu.

Mchezaji huyo anayewindwa na United na Chelsea alijiunga kutoka Benfica kwa Pauni Milioni 113 mwaka 2019 na amefunga mabao 33 katika mechi 129 akiwa na wachezaji wa Diego Simeone lakini hali yao ya kifedha ina maana kwamba anaweza kuuzwa kwa pesa nyingi.

United na Chelsea Zinamfukuzia Joao Felix

Bayern Munich wanaonekana kuwa mstari wa mbele kuwania saini yake katika hatua hii, ingawa vilabu hivyo vya Ligi Kuu ya Uingereza na Paris Saint-Germain pia wanamuwinda mchezaji huyo.

Kuondoka kwa Cristiano Ronaldo kunamaanisha kwamba Erik Ten Hag anatafuta kuimarisha kikosi chake cha Manchester United kwenye safu ya ushambuliaji, huku Chelsea pia wakionekana kuvutiwa nae, huku Aubameyanga mwenye miaka 33 akionekana kutoonekama kama chaguo la muda mrefu hapo Darajani.

United na Chelsea Zinamfukuzia Joao Felix


Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

BONYEZA HAPA KUCHEZA

 

 

SIMBA

Makala iliyopita
Makala ijayo

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.