Golikipa wa zamani wa timu ya Taifa ya Uingereza na Manchester United Ben Foster atangaza kustaafu soka licha ya ofa ya Newcastle United.

 

Foster Atangaza Kustaafu

Kipa huyo mwenye umri wa miaka 39 alitoa tangazo hilo kupitia tangazo hilo kupitia mtandao wa Youtube ambapo amekuwa akitamba na The Cycling GK. Maisha ya Foster ambayo yalianza mwaka 2000, yanaisha baada ya kuwa amechezea vilabu kama Manchester United, Westbrom, Birmingham City, na hivu majuzi, Watford. Alichezea England mechi nane, ikiwa na pamoja na kuwa sehemu yao ya  kikosi cha Kombe la Dunia 2014.

“Nina tangazo la kufanya, ni kubwa. Wakati umefika wa mimikutangaza kustaafu kwangu ,” Foster Alisema,.  “Najua kwakweli kama ningeenda huko ningekuwa na wakati wa kushangaza, Vijana wangekuwa wazuri kabisa na ningetoka nje ya uwanja, mashabiki vitu vya aina hiyo, Lakini hisia kali niliyokuwa nayo, ‘Sitaki kufanya hivi”.

 

Foster Atangaza Kustaafu

Foster ameweka wazi kuwa alikuwa amepewa ofa na Newcastle United  kutokana na jeraha la Karl Darlow kama mwanafunzi wa Nick Pope, Lakini akachagua kutundika glavu kwasababu za kifamilia ambapo amesema alikuwa anakula chakula na akawaza kuwa hawezi kufanya hivyo tena. Aliendelea kusema kuwa lazima awe na furaha na starehe na hawezi kufanya hivyo akiwa mbali na familia yake ingeweza kumuua.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa