Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, Ben Foster kuondoka Watford baada ya msimu huu kutamatika.
Foster alijiunga na Watford 2018 akitokea WestBromwich Albion ambapo ameendelea kuwepo klabuni hapo akifanyakazi na makocha mbalimbali walioiongoza timu hiyo kwa nyakati tofauti tofauti.
Anaondoka Vicarage Road akiwa ameitumikia timu hiyo katika michezo 27 msimu huu ambao wameshajihakikishia kushuka daraja msimu ujao.
Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.