Akiwa ameshainza kazi yake rasmi ndani ya Manchester United, Erik Ten Hag ameweka wazi mpango wake wa kutaka kumbakiza Cristiano Ronaldo klabuni hapo.

Kulikuwa na fununu na taharuki kuhusu hatma ya Ronaldo ndani ya Man United hasa wakati huu ambao ni dhahiri hawachezi Ligi ya Mabingwa msimu ujao. Wapo waliowaza mahusiano kati ya Erik na Cristiano yatakuaje?

Katika kuhakikisha anaianza kazi yake kwa namna ya kusafisha hali ya hewa, Ten Hag ametangaza rasmi kumbakiza CR7 kwenye kikosi chake akimtaka kuendelea nae mpaka atapomaliza mkataba wake msimu ujao.

Akizungumzia hilo, Erik anasema;

“Ni sahihi, ninataka kumbakiza Cristiano Man United. Amekuwa mchezaji wa muhimu kwenye klabu hii. Ronaldo ni gwiji kutokana na kila alichokionesha kwenye maisha yake ya soka na matamanio aliyonayo”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa