Mchezaji wa zamani wa AC Milan na Italia, Gennaro Gattuso, 44 anatarajiwa kutangazwa kama kocha mpya wa Valencia licha ya mashabiki kupinga maamuzi hayo.

Valencia wanasaka kocha mpya kabla ya msimu mpya wa 2022/23 kuanza mara baada ya kuachana na kocha Jose Bordalas mapema wiki iliyopita.

 

gattuso, Gattuso Kutangazwa Kuwa Kocha wa Valencia., Meridianbet

Gattuso hana kazi tangu alipoachana na Napoli mwaka uliopita, na anatarajiwa kutangazwa kama kocha mpya wa klabu ya Valencia inayoshiriki LaLiga huku akipewa kitita cha €3m kwa mwaka.

Mashabiki wenye hasira wa Valencia wamepinga uamuzi huo huku wakimuhusisha meneja huyo na tabia za ubaguzi wa kijinsia (sexist and homophobic) baada ya matamshi yake ya mwaka 2018 kuhusu ndoa za jinsia moja.


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa