Kiungo wa Manchester United, Nemanja Matic anakaribia kuungana na kocha wake wa zamani, Jose Mourinho ndani ya klabu ya Roma baada ya mkataba wake kukamilika mwishoni mwa mwezi huu.

Matic amedumu Old Trafford kwa miaka 5 baada ya kujiunga na Red Devil mwaka 2017 kwa dau la £40m akifanikiwa kucheza mechi 189 katika mashindano yote na kufunga magoli 4.

 

matic, Matic Kuungana na Mourinho, Roma., Meridianbet

Mourinho amekuwa kipenzi cha kiungo huyo akimsajili kutoka Benfica kwa dau la £21m mwaka 2014 akiwa Chelsea na hatimaye kuungana nae alipojiunga na Manchester United.

Roma wanatarajia kumpa kiungo huyo mkataba wa mwaka mmoja akiwa na nafasi ya kuongeza wa pili baada ya kuwa wamekamilisha dili la golikipa wa Benfica, Mile Svilar.


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa