Kiungo mshambuliaji wa Aston Villa, Jack Grealish anatarajiwa kuukosa mchezo wa kesho watakao kuwa ugenini dhidi ya Leeds United uwanjani Ellan Road.
Kocha wa Villa, Dean Smith amethibitisha kukosekana kwa Grealish baada ya kusumbuliwa na maumivu kidogo kutokana na kucheza mechi nyingi mfululizo.
“Hatakuwa tayari kwa kesho. Alikuwa na maumivu, kwa hivyo alikwenda kuonana na daktari na waliamua kuwa anahitaji muda wa kupumzika. Ninaamini kwamba yuko karibu sana kutokuwa na maumivu. “ – alisema Smith
Villa anashika nafasi ya 8 akiwa na alama 36 baada ya michezo 23 mbele ya Leeds wanaokamata nafasi ya 10 wakiwa na alama 35 baada ya michezo 25.
BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.
Pole sana Jack utapata nafuu tu na kurud kwenye game
Pole yake
Kazi kweli kweli
Pole yake
Pole sana kwake
Pole sana kwake
pole yake