Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Kim Paulsen ametangaza kikosi cha wachezaji kitakachoenda kushiriki katika michezo iliyosalia ya kufuzu AFCON.
Kikosi cha Taifa Stars kilichoitwa leo kwa ajili ya mechi 2 za kufuzu AFCON ( vs Eq. Guinea & vs Libya )
MAKIPA :
– Aishi Manula
– Metacha Mnata
– Juma Kaseja
MABEKI :
– Shomari Kapombe
– Hassan Kessy
– Israh Mwenda
– Erasto Nyoni
– Bakari Nondo Mwamnyeto
– Dickson Job
– Kelvin Yondani
– Carlos Protus
– Kennedy Juma
– Laurent Alfred
– Mohamed Hussein Tshabalala
– David Bryson
– Nikcson Kibabage
– Edward Charles Manyama
VIUNGO :
– Simon Msuva
– Hassan Dilunga
– Ayoub Lyanga
– Novatuc Dismac
– Mzamiru Yassin
– Jonas Mkude
– Said Ndemla
– Fei Toto
– Himid Mao
– Ally Msengi
– Salum Aboubakar Sure boy
– Baraka Majogoro
– Farid Mussa
– Iddi Selema Nado
WASHAMBULIAJI :
– Ditram Nchimbi
– Mbwana Samatta
– Thomas Ulimwengu
– John Bocco
– Yohana Nkomola
– Shaaban Chilunda
– Deus kaseke
– Abdul Hamis Suleiman Sopu
– Kelvin John
– Nassor Saadun Hamoud
– Mussa Abraham
BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.
Taifa Star tunawakubal sana mashabiki wenu
Mashabiki tunasubiri tuone maajabu yao
Kila la heri
Lila la kheri kwake
Wangechukua timu ya Simba kuwa timu ya Taifa