Eden Hazard alitokea benchi katika mchezo wa La Liga Elche walipo waalika Real Madrid uwanjani Estadio Manuel Martínez Valero.
Hazard aliingia uwanjani zikiwa zimesalia dakika 13 mchezo kuisha ambapo waliambulia sare ya 1-1. Mchezaji huyo amekumbwa na majeruhi toka ahamie katika klabu hiyo katika mchezo wa kwanza dhidi ya Alavez November 28.
Luka Modric alifunga goli la ufunguzi dakika ya 20, lakini Elche walizawadiwa penati mapema kipindi cha pili na kuwekwa wavuni na Fidel.
“Hazard amerudi, lakini anahitaji muda na mechi za kutosha. Ni kitu kinachoenda hatua kwa hatua.” alisema Zidane
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?
warda
Atakuwa poa tu ni swala la mda
Ernest Kimeru
Ni swala linalowezekana kabisa kwa Hazard kurudi kwenye ubora wake
Dorophina
Akiamua hakuna linalo shindikana kwake hazard
Angelina
Goodupdate
Tatu
Habari nzuri
Rahmal
Habali nzuli
Mwanahamisi
Habari njema
Lydia Emmanuel Magoti
Atakuwa sawa tuuu
felister
hakuna kinachoshindikana
Janeflora malisa
Safi
Magdalena
Hazard yupo makini
Sarah
Namkubali Hazard
Adelta
Hazard anarud kwenye ubora wake
Sania
Hazard akaze buti atarudi kwenye hadhi yake tu
Hopemwaikuka
Kweli kabsaa
Issa
Hazard rud chelsea
Gabriel
Hazard yuko vzur