Kaze : Bado Namuamini Sarpong.


 

Kocha mkuu wa Yanga SC Cedric Kaze ameweka wazi imani yake kwa mshambuliaji wake Michael Sarpong raia wa Ghana baada ya shutuma nyingi za mashabiki juu ya uwezo mdogo wa mshambuliaji huyo katika kucheka na nyavu.

 

Sarpong ana kipaji kizuri na ni mmoja kati ya wachezaji wenye bidii sana mazoezi na ni nidhamu yake ni nzuri hivyo mashabiki waweke imani juu yake na mimi kama kocha ninaweka mikakati kabambe kurejesha makali yake,” alisema kaze

Huu ni upepo tu mbaya ambao wachezaji wengi wazuri huwatokea . Atakuwa bora na kila mmoja atasahau hiki ambacho kinawafanya kukosa imani kwa Sarpong. “ aliongeza kocha huyo

 


TENGENEZA FAIDA KUPITIA KASINO YA MERIDIANBET

Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.

Neptune's-Riches_Casino-Post_30-January

Cheza hapa

13 Komentara

    Akaze buti tu atatisha mbeleni

    Jibu

    Saprong noma

    Jibu

    Sarpong yupo vizur

    Jibu

    Aendelee kiwa na imani nae sarpong yupo makini sana

    Jibu

    Darling mtu makini

    Jibu

    Kijana sarpong Yuko vizuri

    Jibu

    Kikubwa ni kuongeza bidii

    Jibu

    Sarpong jembe

    Jibu

    Sarpong yupo vizuri

    Jibu

    Jambo zur

    Jibu

    Sarpong ni utopolo mmoja hivi halijui goli

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Aendelee kumwamin ila atalia siku moja

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.