Baraza : Wachezaji Wengi Wakitanzania Hawajitambui.


 

Kocha Mkuu wa Biashara United, Francis Baraza amesema jumla ya wachezaji 12 wa kikosi cha kwanza ambao walipewa mapumziko hivi karibuni, hawajaripoti kambini mpaka sasa.

 

Baraza amesema: “Baada ya mapumziko kumalizikia, wachezaji wangu wa kikosi cha kwanza ambao idadi yao ni 12 hawajarejea mazoezini mpaka sasa na kiukweli nashindwa kuelewa ni sababu gani imepelekea hawajarudi kambini.

Nitakachokifanya nitatumia wachezaji wapya ambao tumewasajili pamoja na vijana wa timu ya vijana katika ligi kwa kuwa kama kocha sina namna tena, naweza kusema wachezaji wengi wa Kitanzania hawajitambui kwa kuwa kitendo kilichofanywa na wachezaji hawa kwa mchezaji anayejitambua hawezi kufanya hivyo.” aliongeza Baraza.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA KASINO YA MERIDIANBET

Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.

Neptune's-Riches_Casino-Post_30-January

Cheza hapa

12 Komentara

    Ndio kweli

    Jibu

    Duh hao wachezaji wana tatizo gani tena

    Jibu

    Tatizo la wachezaji wa Tanzania hawachukulii mpira Kama sehemu ya ajira katika maisha yao

    Jibu

    Duuh ila nikweli

    Jibu

    Kweli kabisaa

    Jibu

    Wa Tanzania mnatuangushaaa aisee

    Jibu

    Ndiomaana timu zetu nyingi zinafeli

    Jibu

    Asante kwa taarifa.

    Jibu

    Duh

    Jibu

    Nakubaliana na Baraza kwani kambi ikivunjwa na mkapewa tarehe ya kurudi kambini wachezaji lazima mrudi kwa muda muafaka

    Jibu

    Ni kweli kabisa

    Jibu

    Kweli hawajitambui

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.