Baada ya Siku 6008, Tuchel Afikia Rekodi ya Mourinho Chelsea

Tarehe 24 Agosti 2004 ndiyo ilikuwa siku ya mwisho kwa Chelsea kucheza michezo mitatu ya Ligi Kuu Uingereza bila kuruhusu nyavu zake kutingishwa (kufungwa goli).

rekodi hiyo ikihesabiwa kama kocha mpya na kwenye michezo yake mitatu ya mwanzo timu haijafungwa goli, msimu huo Chelsea iliweka rekodi ya kucheza msimu mzima na kufungwa magoli machache zaidi. Magoli 15.

Leo tarehe 5 Februari 2021, Chelsea ikiwa chini ya kocha Thomas Tuchel inafikia rekodi kama hiyo ikicheza michezo mitatu mfululizo bila kuruhusu kufungwa goli.

Rekodi hiyo inafikiwa tena kwa kocha mpya Thomas Tuchel ambaye ndani ya michezo yake mitatu ya mwanzo ya ligi kuu, timu haijafungwa goli.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA KASINO YA MERIDIANBET

Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.

Neptune's-Riches_Casino-Post_30-January

Cheza hapa

12 Komentara

    Mourinho Ni mtu wa pekee sana

    Jibu

    Mourinho Yuko makini na kazi yake

    Jibu

    Muorinho namkubali sana kwan anajua anachokifanya katika soka

    Jibu

    Anastahili kupongezwaa

    Jibu

    Mourinho yupo vizuri

    Jibu

    Hongera sana Tuchel

    Jibu

    Kaz kaz

    Jibu

    Mourinho mtu makini sana

    Jibu

    Special one mdomo mwing sana saiv anagongwa tu na wakongwe na wadogo

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Kocha wa rekodi

    Jibu

    Tuchel yuko poa sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.