Ofisa mtendaji mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema kuwa klabu za Ligi Kuu ya Tanzania Bara zitagawana asilimia 70 ya pesa za haki ya matangazo ya redio kutoka TBC.
Udhamini huo wa bilioni 3 kwa miaka 10 na kila mwaka TBC itakuwa natoa milioni 300 na katika mgawanyo wa pesa hizo, klabu zitachukua asilimia 70 na asilimia 30 inayobaki itakwenda TFF na Bodi ya Ligi (TPLB),
Katika mgawanyo huo asilimia 70 ya milioni 300 ni milioni 210 huku asilimia 30 ya milioni 300 ni milioni 90. Kila timu ya Ligi kuu itapata jumla ya milioni 13.125 kwa mwaka na fedha hiyo itatolewa kwa awamu mbili kwa mwaka.
Katika hatua nyingine, CEO Almasi Kasongo amesema moja ya maboresho ya kanuni za Ligi Kuu ni ligi kusimama wakati timu za Tanzania zikicheza mashindano ya kimataifa, Lengo ya kanuni hii ni kuhakikisha hakuna viporo na Vilabu vyote vimerizia kanuni hiyo.
Unakila sababu ya kuwa moja ya mamilionea katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Mchezo wa Ruby Casino Queen unaweza kukufanya ujishindie mkwanja mrefu. Furahia ubora wa kasino zetu na njia kibao za kuwa mshindi leo hii ukiwa na mrembo Ruby.!
[email protected]
Nice update