Klopp Akutwa na Covid-19, Kuwakosa Chelsea Leo.

 

Meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp atakosa mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) utakaowakutanisha na Chelsea katika dimba la Stamford Bridge mnamo Januari 2, 2021.

 

Hatua hii imetokana na Klopp kujitenga baada ya vipimo kuonyesha ana maambukizi ya virusi vya Corona baada ya kuonyesha dalili za awali.

Wakati Klopp atakosekana masaidizi wake Pep Lijnders ataiongoza Liverpool hii leo katika mtanange wa kukata na shoka pale Stamford Bridge dhidi ya Chelsea.

Desemba 31, 2021 meneja huyo alidhibitisha kuwepo kwa wachezaji watatu wa timu hiyo waliopatikana na virusi vya Corona na baadae mabingwa hao mara 19 walitoa taarifa ya kuongezeka zaidi kwa visa hivyo.

Liverpool wanaingia katika mchezo wa leowakiwa wametoka kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Leicester City kwa 1-0 wakati Chelsea ya Tuchel inayokabiliwa na majeraha ikilazimishwa sare nyumbani na Brighton.


KUWA MILIONEA MSIMU WA SIKUKUU NA SAHARA RICHIES

Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.