Klopp - Ushindi Mgumu Lakini Muhimu.

 

Meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp ameelezea ushindi wa 3-2 dhidi ya Atletico Madrid katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa ni ushindi muhimu hasa kwa aina ya mchezo ulivyokuwa.

 

Liverpool waliongoza 2-0 katika dakika 15 za kwanza za mchezo kabla ya Antonie Griezmann kusawazisha magoli yote kabla ya kuelekea mapumziko.

Mohamed Salah ndio alikuwa mshindi wa mechi hiyo baada ya kufunga mpira wa adhabu na kuiandikia klabu yake ushindi wa 3-2 mpaka mwisho wa mchezo.

“Ilikuwa mechi ngumu.!” Kloop aliiambia BT Sport. “Kiukweli, sijali tulivyoshinda! wachafu zaidi ndo wenye umuhimu zaidi! Kwenye usiku kama huu kupata alama tatu ni kitu kikubwa sana.”

“Penati yetu ilikuwa ni penati. Na nadhani ile nyingine haikuwa penati, lakini sijaona mara mara kwa mara zikikataliwa na VAR. Sikutarajia hilo, lakini nadhani ni maamuzi sahihi.

“Kadi nyekundu kiukweli haikuwa bahati, lakini itabaki kuwa kadi nyekundu. Kiatu usoni na vitu kama hivyo, tumeona kadi nyekundu kama hizi kabla.” aliongeza Klopp.


KUSANYA MKWANJA NA BIG BAD WOLF

Mchezo wa Big Bad Wolf ni moja ya michezo pendwa katika kasino zetu za meridianbet. Ukiachana na tabasamu utakalolipata wakati wa kucheza pia unajiwekea nafasi ya kuwa mshindi wa mkwanja mrefu unaotoka kila baada ya mzunguko kukamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.