Kostic Asisitiza Kuwa Vlahovic ni Muhimu Ndani ya Juventus

Filip Kostic anasisitiza kuwa mshirika wake Dusan Vlahovic ni muhimu kwa Juventus na kuwaonya Milan kabla ya mechi ya kirafiki ya jana akisema kuwa wanataka kushinda.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Kostic Asisitiza Kuwa Vlahovic ni Muhimu Ndani ya Juventus

Kostic alizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari jana usiku kabla ya mechi ya kirafiki dhidi ya Milan nchini Marekani.  Mtani wa Kostic Vlahovic hatahusika kwani amekuwa akifanya mazoezi tofauti na kundi.

“Anajisikia vizuri, ilibidi afanye kazi kando katika sehemu ya kwanza ya maandalizi ya msimu mpya. Natumai anaweza kufanya mazoezi na timu haraka iwezekanavyo. Yeye ni mzuri na anazingatia kupona kwake, ni mchezaji muhimu sana kwa timu.”

Kostic Asisitiza Kuwa Vlahovic ni Muhimu Ndani ya Juventus

Aliongeza kuwa wanafanya mazoezi mengi. Wanafanya yote wanayohitaji ili kuwa tayari kwa msimu mpya.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Yote yanaendelea vizuri. Mchezo na Milan ni mechi ya kirafiki lakini tunataka kushinda ili kuanza kwa njia bora zaidi. Tunataka kuwa tayari kwa Serie A, tunajua lazima tuboreshe. Milan ni timu yenye ubora mkubwa, lakini sisi pia tupo na tumeungana. Alimaliza hivyo.

Acha ujumbe