FA, wamethibitisha kuwapiga faini klabu ya Leeds United kwa kushindwa kuwazui wachezaji wake kwenye mchezo ulioisha kwa kupoteza 3-2 dhidi ya Chelsea tarehe 11 Disemba.
Tukio lililopelekea klabu ya leeds kupatiwa adhabu ilikuwa penati ya dakika ya mwisho waliyozawadiwa klabu ya Chelsea kwenye muda wa nyiongeza ndani ya dimba la Stamford Bridge baada ya Klich kumchezea vibaya Rudiger na refarii kuomba msaada wa VAR kufanya maamuzi ya kuwazadia penati.

Msemaji wa FA alitoa waraka ambao uluonesha kuwa klabu ya leeds united imekubali kulipa faini ya £20,000 kwa kuvunja sheria kifungu cha 20.1.
“Leeds United wamekubali kuwa walishindwa kuwazuia wachezaji wao wenyewe kwa kufuatua utaratibu mzuri wa kiungwana pale walipomzunguka refarii na kumzonga na pia wamekubali adhabu.”
Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.


