Klabu ya Liverpool jana imeendeleza rekodi mbaya zaidi katika msimu huu baada ya kukubali kichapo cha 1-0 nyumbani Anfield dhidi ya Chelsea ya Thomas Tuchel.
Liverpool wamepoteza mechi tano mfululizo za ligi kuu ya Uingereza ndani ya Anfield kwa mara ya kwanza katika historia yao.
Rekodi ya Reds Msimu huu katika mechi 5 zilizopita:
0-1 Burnley
0-1 Brighton
1-4 Man City
0-2 Everton
0-1 Chelsea
Ni Muda wa Kuvuna Mkwanja na Jungle Jim and the Lost Sphinx
Hauihitaji kufikira mara mbili ni mchezo gani utakupatia mkwanja ndani ya kasino za Meridianbet. Jiunge sasa ufurahie Jungle Jim and the Lost Sphinx.
Liverpool mnakwama wapi!
Wameishiwa
Mbona ivyo liverpool
Liverpool badilikeni
Poleni Sana liverpool
Majeruhi yanaigharimu mno Liverpool
Liverpool shida nini tena
Liverpool kaz wanayo lekodi mbovu sana
Liverpool wamevurugwa sana