Kwa mujibu wa Kocha mkuuu wa Manchester United ,Ole Gunnar Solskjaer amethibitisha kuwa beki na nahodha wa klabu hiyo, Harry Maguire kuna uwezekano mkubwa akakosa Fainali ya Ligi ya Europa.

 

Maguire, Maguire Kukosa Mechi Zote Zilizobaki., Meridianbet

Solskjaer amesema: “Harry (Maguire) anatembea, lakini bado anahitaji muda zaidi kutoka kutembea hadi kukimbia. Sidhani kama tutamuona huko Gdansk kwenye Fainali ya Europa.”

beki huyo amekuwa mhimili mkubwa katika safu ya ulinzi ya Manchester United msimu huu akiwa nahodha, amecheza jumla ya michezo 34 na kufunga magoli 2.

Bila shaka hii ni Habari mbaya kwa mashabiki wa Man United na yeye binafsi.


UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

kane, Kane Aweka Wazi Maazimio Yake Kucheza UEFA., MeridianbetBASHIRI SASA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa