Ligi ya Mabingwa barani Ulaya (UEFA) kuendelea usiku wa leo, ukiwa na Meridianbet USSD utaweza kujiweka kwenye nafasi ya kujishindia mkwanja mnono huku ukiwa hauna haja ya kuwa na Intaneti kupata pesa.

 

Meridianbet USSD Wanakupa Pesa Leo hii Ligi ya Mabingwa.

Mechi kali za leo, Ajax anamkaribisha Napoli ambaye ameshinda mechi zake zote mbili za kwanza na ndiye anaongoza ligi, huku Ajax yeye akiwa ameshinda mechi moja tuu. Ajax amepewa ODDS ya 2.25 ya ushindi, wakati Napoli akipewa 2.94, sare kati yao ina 3.62.

Ukiachana na mechi hiyo, nyingine inawakutanisha Intermilan dhidi ya Barcelona, huku timu hizo zote zina alama 3 kwenye michuano hii baada ya kushinda mechi moja moja na kupoteza moja moja. Inter bado hana fomu nzuri kutokana na matokeo yake kwenye ligi, huku Barca akiwa vizuri. Barca amepewa ODDS ya ushindi ya 1.81, Inter akipewa 3.92, kutoshana nguvu ikipewa 3.92.

Dimba lingine ambalo litawaka moto ni kule Ubelgiji ambapo Club Brugge ianamualika Atletico Madrid katika uwanja wake wa Jan Breydel Stadion baada ya kushinda mechi zake mbili za awali. Brugge kapewa ODDS ya 3.72, Atletico kapewa ODDS ya 2.01, na sare ina 3.38. Nafasi kubwa ya kushinda wamepewa vijana wa Simeone je Mwenyeji atakubali?

Meridianbet USSD Wanakupa Pesa Leo hii Ligi ya Mabingwa.

Basi cha kufanya we bofya menu hiyo hapo juu ukiwa na Meridianbet USSD uweze kutengeneza mkeka wako kwa ODDS nzuri na safi kabisa ujiweke kwenye nafasi ya kupiga mkwanja mrefu kutokana na dau lako na timu ulizoweka.

Meridianbet USSD ndio sehemu pekee kwa wewe kubashiri mechi zako za ushindi kwani wanakupa machuo zaidi ya 1000.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa