Modric Aweka Rekodi Croatia.


 

Mchezaji bora wa kombe la dunia 2018, Luka Modric amevunja rekodi ya kuwa mchezaji wa croatia aliyechezea timu ya taifa mechi nyingi zaidi, akiwa amecheza mechi 135.

Modric amevunja rekodi katika mchezo dhidi ya Cyprus siku ya jumamosi (jana) iliyokuwa ikishikiliwa na beki wa zamani wa Shakhtar Donetsk, Darijo Srna.

 

Modric aliitwa kwa mara ya kwanza katika kikosi cha croatia mwaka 2006, tangu hapo amefanikiwa kucheza mechi 135 akifunga magoli 16 katika mashindano ya Euro na World Cups.

Mchezaji huyo aliisaidia Croatia kutinga fainali ya kombe la dunia mwaka 2018 ambapo walifungwa na Ufaransa kwa 4-2.


Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

CHEZA HAPA

5 Komentara

    Hongera sana Luka

    Jibu

    Happy birthday modric

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Modric anajua sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.