Moyes Kuendelea Kufundisha Akiwa Karantini.


Licha ya David Moyes kuugua Covid-19, kocha huyo raia wa Scotland atasimamia mechi itakayowakutanisha West Ham United na Wolves katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) mnamo Septemba 27, 2020 uwanjani London Stadium akiwa nyumbani kwake.

Haya ni kwa mujibu wa kocha msaidizi wa West Ham, Alan Irvine ambaye amethibitisha kuwa Moyes kwa sasa amejitenga nyumbani katika juhudi za kudhibiti msambao wa virusi vya corona.

 

Moyes Kuendelea Kufundisha Akiwa Karantini.

Baada ya kupatikana na corona, Moyes kwa pamoja na wanasoka Issa Diop na Josh Cullen walilazimika kuondoka uwanjani London Stadium haraka iwezekanavyo kabla ya mechi iliyowakutanisha na Hull City kwenye Carabao Cup kupigwa mnamo Septemba 22, 2020.

Licha ya Moyes kufichua mpango wake wa kufanyia kazi nyumbani kwa siku kadhaa zijazo, Irvine ndiye atakuwa kwenye eneo la kocha kwa upande wa West Ham katika mechi zijazo.

“Kila kitu tutakachofanya uwanjani kuanzia sasa kitaidhinishwa na Kocha. Sisi uwanjani London Stadium tutasalia tu kutekeleza maagizo atakayokuwa akitoa akiwa nyumbani kwake,” akatanguliza Irvine.

 

Moyes Kuendelea Kufundisha Akiwa Karantini.

“Hata hii taarifa rasmi tunayoitoa sasa kwa vyombo vya habari imeandaliwa na kocha huyo akiwa nyumbani. Atasalia kufanyia kazi nyumbani hadi atakapopona. Mimi na wenzangu kwenye benchi ya kifundi ni wajumbe tu,” akaongeza.

Kwa mujibu wa Irvine, Moyes na wachezaji Diop na Cullen hawakuonyesha dalili zozote za corona kabla ya kufanyiwa vipimo vya afya na kupatikana na ugonjwa wa Covid-19.


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

41 Komentara

    Duuu corona sio poa

    Jibu

    Duh nouma corona inajua kuitikisa dunia

    Jibu

    Ni kocha anaependa kazi yake

    Jibu

    Duuh hii corona sio poa kabisa

    Jibu

    Corona noma sana

    Jibu

    Oojamani mungu amsaidie atoke caratin

    Jibu

    Moyes anaipenda sana kazi yake na ndio maana anafanya yote hayo

    Jibu

    Duu sio poa

    Jibu

    Korona himekua hatari jamani daah..!

    Jibu

    Corona ni janga la taifa

    Jibu

    Corona ni shida

    Jibu

    Ni kama hana imani na wasaidizi wake! Nadhani anataka kuona kila kitu kinakwenda sawa#meridianbettz

    Jibu

    Corona bado ni tishio

    Jibu

    Fresh tu

    Jibu

    Safi sana ata Kama kuna Corona lakini lazima maisha yaendelee

    Jibu

    Dah sio poa hii corona

    Jibu

    Duh nomaa san

    Jibu

    Hatarii hii

    Jibu

    Corona ni janga

    Jibu

    Coronavirus sio poa

    Jibu

    vzr

    Jibu

    Corona sio poa

    Jibu

    Westham watamuwakilisha vizuri Kocha wao

    Jibu

    Corona ni shida

    Jibu

    Duuu huuu Ugonjwa bado Ni hatari sana

    Jibu

    Nomaa

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Corona ni noma

    Jibu

    SAfi

    Jibu

    Corona ni shida!

    Jibu

    Ni kama hana imani na wasaidizi wake! Nadhani anataka kuona kila kitu kinakwenda sawa

    Jibu

    Moyes anajituma sana

    Jibu

    Safii anajitumaa

    Jibu

    anaipenda kazi yake

    Jibu

    Kocha mwenye kipaji chake hakiharibiki kitu!!

    Jibu

    Safi sana moyes

    Jibu

    Jamani corona binafsi nakuombea apone na arejee kwenye majukum yake

    Jibu

    huu ugonjwa umekuwa tishio kubwa sana Mungu tu atusimamie

    Jibu

    Covid 19 ni janga la dunia

    Jibu

    Corona inatuharibia radha ya mpira

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.