Katika ratiba ya LaLiga msimu 2020-21 inaonesha michezo ya wikendi hii itakuwa ni kati ya Real Madrid wataitembelea timu ya Pellegrini Real Betis siku ya Jumamosi wakati Atletico Madrid itacheza mchezo wa kwanza msimu huu Jumapili jioni kabla macho yote hayaja elekezwa kwa nyota wa Barcelona Lionel Messi, Barca itakapo anza mbio za ubingwa dhdi ya Villarreal.
Real Betis vs Real Madrid (Jumamosi saa 22:00 usiku)
Zinedine Zidane amesisitiza kwamba ameridhishwa na kiwango cha Real Madrid baada ya kupata sare ya kutofungana na Real Sociedad.
Bosi huyo wa Kifaransa mwenye umri wa miaka 48 amekumbana na maswali juu ya maamuzi yake ya kutomuanzisha straika Luka Jovic aliyesajiliwa kwa kitita cha £55m.
Lakini wakati uvumi ukiendelea kwamba Zidane anampango wa kusajili mshambuliaji mwingine, Real watahitaji kuwa makaini mbele ya lango lao watakapo safiri mpaka Real Betis siku ya Jumamosi.
Eden Harzad ni kama amekaribia kurejea dimbani hivi karibuni kutoka kuuguza majereha ya kifundo cha mguu.
Tangu achukue mikoba ya kuinoa Real Betis mwezi uliyopita Chilean Manuel Pellegrini amezifunga Alaves na Valladolid na kupata clean shit katika timu yake hiyo.
Atletico Madrid vs Granada (Jumapili saa 17:00 Jioni).
Atletico wamechelewa kuanza msimu mpya wa LaLiga leo watacheza dhidi ya Granada, kitu ambacho kitafanya wacheze michezo mitano ndani ya siku 15.
Ujio wa Luis Suarez ndani ya Atletico akitokea katika timu ya Barcelona ambaye amepangwa kucheza mchezo wake wa kwanza utaongeza chachu kwa timu hiyo iliyo chini ya Muargentina Diego Simeone msimu huu.
Michezo miwili aliyoshinda Granada akiwa katika dimba la nyumbani inamuweka kileleni katika msimamo wa LaLiga akiwa amejikusanyia point 6.
Barcelona vs Villarreal (Jumapili saa 22:00)
Hatimaye Barcelona watarejea dimbani kwa kuikaribisha Villarreal katika dimba la Camp Nou siku ya Jumapili usiku saa za Afrika Mashariki.
Messi ameendelea kuwa mchezaji wa Barca baada ya kuwatingisha kwa kutaka kusepa katika dirisha hili la uhamisho, lakini jitihada zake ziligonga mwamba ilikuepuka kuvunja vifungu vya sheria kwenye mkataba wake.
Barcelona itacheza bila uwepo wa aliyekuwa mshambuliaji wao Luis Suarez aliyeuzwa katika klabu ya Atletico Madrid kwa dau la Euro milioni sita.
Fransisco Trincao ni kama atakuwa benchi,na kocha Koeman anatarajia kumuanzisha kinda mwenye maajabu mwenye miaka 17, Ansu Fati.
Unai Emery ambaye amepewa dili ya kuinoa Villarreal amejikusanyia alama nne katika michezo miwili na timu yake imeonesha kiwango thabiti kwa michezo ya ufunguzi huenda ikaleta shida katika ngome ya Barca.
Mshambuliaji Gerard Moreno,mwenye miaka 28 amefunga katika michezo yote msimu huu.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Khadija
Imekaa poa
Fatina mfigi
Safi
aisha
Uchambuzi umeeleweka tunasubili tuu vijana wafanye maajabu yao
Mwajumah
Uchambuzi umeeleweka sana
Zeiyana
Barcelona vs Villarreal hii mechi ngumu sana
Lydia Emmanuel Magoti
Uchambuzi nime huwerewa upo vizuri
Venerose
Hongereni kwa uchambizi mnzur
Shani
Makin sana
Hidaya
Tunasubiria muda tu ufike
Tatu
Hii mechi aitabiliki
Caroline
Uchambuzi yakinifu
Hopemwaikuka
Uko gud
Elika
Asafi sana naona ratiba imekaa mahara pake
Amiri Kayera
Uchambuz mzur
Nasra
Makini sana
Gabriel
Umekaa poa sana 👍
Adelta
Ratiba iko poa 👍
lombo
saf
Rehema
Imekaa fresh
Ernest
Ngoja tuone kama Barca kuna jipya lolote
Sadick
Nasubiri kuona kama Eden Hazard atakuwa ana makali kama aliyokuwa nayo akiwa Chelsea#meridianbettz
Flomena
Good news
Fatuma kasomo
Uchambuzi uko poa
Janeflora malisa
Iko poa
Neema
Uchambuzi uko vzr
Samiah
Gud news
Latifa juma mohamed
Safi Sana.
David Pere
Ngoja tuone kama Barca kuna jipya lolote
Sauda
Uchambuzi uko vizuri
Asia Abdy
Imekaa poa hii
felister
uchambuzi mzuri
Rose kapinga
Hatari sana
Sabrina
Imetulia
Theckla
Uchambuzi mzuri sana
Khadija
Imetulia
magdalena
uchambuzi ulikuwa makini sana
Povel
Uchambuzi mzuri sana
Dorophina
Uchambuzi makini sna