Thiago Alcantara ataipeleka Liverpool katika “Levo nyingine” ikiwa Jurgen Klopp anajenga utawala hapo Anfield.
Hayo yalikuwa ni maono ya mchezaji mwenzake wa Liverpool Sadio Mane, ambaye amefurahia kuona Alcantara akihama kutoka kwa mabingwa wa Champions League 2019-20 Bayern Munich kwenda kwa mabingwa wa Premier League 2019-20 Liverpool.

Ni usajili ambao ulikuwa ukifikiriwa sana na mashabiki wa Liverpool na wachezaji wamependa usajili huo, na Mane ambaye alimkaribisha Diogo Jota na Kostas Tsimikas- amefurahia kuwa na Wahispania hao kwenye kikosi.
“Nadhani sio mashabiki pekee ambao wamefurahishwa na ujio wa Alcantara,” aliiambia tovuti rasmi ya klabu.
“Hakika mimi na wachezaji wengangu tumefurahi sana kuwa na mchezaji mwenye kiwango kama Alcantara inatufanya tuwe bora maradufu.
Sadio Mane aliweka kambani goli zote mbili kwenye mchezo dhidi ya Chelsea, mchezo ambao Alcantara alicheza pia.
Thiago alipiga pasi 75 zilizo kamilika na kuwa mchezaji ambaye alipiga nyingi kuliko mchezaji mwingine yoyote ndani ya dakika 45 katika Premier League tangu mwaka 2003.
Anatarajia kucheza kwa mara nyingine Liverpool watakapo kabiliana na vijana wa Arteta, Arsenal siku ya Jumatatu lakini pia vijana wa Klopp waliichapa Leeds goli 4-3 katika mchezo wa kwanza wa ligi.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Zeiyana
Ni kweli mane hajakosea thiago yupo vizuri
Caroline
Kweli kabisa Thiago ni kiungo mahiri
Hopemwaikuka
True say
Hidaya
Kila la kheri kwake
Elika
Thiaho yupo vizur
Amiri Kayera
Saf kalb Thiago
Mwajumah
Kila la kheri kwake
Lydia Emmanuel Magoti
Safii kabisa wazee wakazi hao nawakubali
Nasra
Kila la kheri uendako
Gabriel
Thiago ni kiungo mahiri
Adelta
Thiago mtu mzuri anajuwa kazi yake
lombo
habar njema
Rehema
Ni Jambo zuri
aisha
Ni kweli kabisa thiago ni mtu mwingine
Issa
Thiago hafai
Ernest
Ukiangalia style ya uchezaji wa Thiago unaweza sema Liverpool ya sasa itakuwa na De Bruyne wao
Sadick
Thiago alionyesha uwezo mkubwa alipoingia kipindi cha pili mechi ya Liverpool dhidi ya Chelsea#meridianbettz
Flomena
Yuko vizuri
Fatuma kasomo
Gud news
Janeflora malisa
Nice
Neema
Habari njemaa
David Pere
Thiago alipiga pasi 75 zilizo kamilika na kuwa mchezaji ambaye alipiga nyingi kuliko mchezaji mwingine yoyote ndani ya dakika 45 katika Premier League tangu mwaka 2003.
Sauda
Thiago fundi
Asia Abdy
Anajuaaa
felister
usajili mzuri tunategemea mazuri kutoka kwa thiago
Rose kapinga
Juhudi na kujituma ndio kila kitu kwa thiago!!
Sabrina
Namkubali sana Thiago
Theckla
Thiago ni mchezaji wa aina yake
Khadija
Thiago namkubali sana
Mnongane JR
Fundi wa mpira#meridianbettz
magdalena
thiago ataki kabisa masihara anapambana zaidi ili asije akawekwa benchi
Povel
Tuweke maneno ya Akiba
Fatina mfingi
Fundi hatar
Dorophina
Thiago yupo vizuri lazima ataisaidia liverpool
Faraja molell
Chicago tunakukubal sana
Mwanahamisi
Fundi pambe