Liverpool vs Arsenal, Spurs vs Chelsea Carabao Cup.


Miamba wa soka ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), Liverpool, watakuta na Arsenal kwenye raundi ya 16-bora ya kipute cha Carabao Cup mnamo Oktoba 1, 2020 baada ya kuwakomoa Lincoln 7-2 uwanjani Sincil Bank mnamo Alhamisi.

Arsenal ya kocha Mikel Arteta, ilifuzu kwa hatua ya 16-bora baada ya kuzamisha chombo cha Leicester City kwa mabao 2-0 mnamo Septemba 23 uwanjani King Power.

 

Liverpool vs Arsenal, Spurs vs Chelsea Carabao Cup.

Wakicheza dhidi ya Lincoln, Liverpool ambao kwa sasa wananolewa na kocha Jurgen Klopp, mabao yao yalifungwa na Takumi Minamino, Curtis Jones, Xherdan Shaqiri, Marko Grujic na Divock Origi.

Tottenham Hotspur walifuzu kwa hatua ya 16-bora bila ya kutoa jasho baada ya kupewa nafasi ya bure. Hatua hiyo ilichangiwa na tukio la idadi kubwa ya wachezaji wa kikosi cha kwanza cha Leyton Orient waliokuwa wavaane na Spurs kuugua Covid-19. Spurs ya mkufunzi Jose Mourinho sasa itachuana na Chelsea ya kocha Frank Lampard.

Chini ya kocha Pep Guardiola, walivaana na Bournemouth na kuwafunga 2-1 kujikatia tiketi ya kuvaana na Burnley katika raundi ijayo ya 16-bora.

 

Liverpool vs Arsenal, Spurs vs Chelsea Carabao Cup.

Kati ya mechi nyinginezo zilizotandazwa Septemba 24, Aston Villa walipata ushindi wa 3-0 dhidi ya Bristol City uwanjani Ashton Gate na kufuzu kukipiga na Stoke City kwenye mchezo utaoshuhudia mshindi akitinga hatua ya robo-fainali ya Carabao Cup msimu huu.

DROO YA 16-BORA CARABAO CUP:

Tottenham vs Chelsea

Newport County vs Newcastle

Burnley vs Manchester City

Brighton vs Manchester United

Everton vs West Ham

Brentford vs Fulham

Aston Villa vs Stoke City

Liverpool vs Arsenal


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

37 Komentara

    Mechi zmetulia Sana kaz kwetu mashabik

    Jibu

    Liverpool wana kutana na viboko wao hii mechi hitakua hapatoshi

    Jibu

    Leo patachimbika hapa

    Jibu

    Mshiko nje nje mechi za ushindi

    Jibu

    Mechi zote kalii

    Jibu

    Mechi zote kali patachimbika leo mpaka kiereweke

    Jibu

    Kazi itakuwepo Leo

    Jibu

    Leo patachimbika

    Jibu

    Ni balaa hapa huku auba kula mane

    Jibu

    Natarajia kuona jeshiii la mizinga likifanya yao
    # Arsenal jeshiii 🔥🔥🔥

    Jibu

    Leo Kazi ipo

    Jibu

    mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

    Gemu bomba

    Jibu

    Liverpool kapiga hao kama nawaona watoto wa klopp watavyoitikisa nyavu

    Jibu

    Ni balaa tena arteta ni shida

    Jibu

    Arsenal sijui wataweka wapi sura zao wiki hii

    Jibu

    Ndani muda mfupi Arsenal inakutana mara 2 na Liverpool ktk mashindano tofauti na endapo timu mojawapo ikafungwa mara mbili ina maana itakuwa imeonyesha uwezo mkubwa#meridianbettz

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Duh arsenal sijui itakuaje

    Jibu

    Mambo mazur

    Jibu

    Leo kutanogaa

    Jibu

    Leo ndio leo

    Jibu

    Mechi zote pambe.

    Jibu

    Natarajia kuona jeshiii la mizinga likifanya yaoh

    Jibu

    Ratiba imetulia

    Jibu

    Arsenal jmn.mbona mnatuumiza mashabiki zenu

    Jibu

    nina Imani na arsenal msiniangushe ifikapo tar iyo

    Jibu

    Hatariii wakali wa soka hao!!

    Jibu

    Iko poa sana hii

    Jibu

    Ni mwendo wa kubet na meridianbet

    Jibu

    Leo kazi ipo

    Jibu

    Mechi Tami Liverpool vs arsenal

    Jibu

    Asnt kwa taarif

    Jibu

    wanakutana tena vibonde wa uingereza apo itakuwa balaa tupu

    Jibu

    Don’t miss

    Jibu

    Hii mechi itakuwa ngumu sana wamekutana mafahari wawili

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.