Gareth Bale: Hakuna Ninachojutia Real

Aliyekuwa nyota wa Real Madrid, Gareth Bale ambaye sasa yupo klabu ya Tottenham, amesema kuwa hana majuto yeyote kwa mda wake alioutumia kule Real Madrid.

Bale anatarajia kuendeleza jitihada zake kwenye soka katika klabu yake aliyorejea baada ya kuondoka miaka 7 iliyopita kwa dau la kuvunja rekodi kwa wakati wake. Amerejea Spurs kwa mkopo akisanishwa mkataba wa mwaka mmoja.

Gareth Bale

Moja ya sababu ambayo inayohusishwa kusababisha Real Madrid kutokuwa na mipango na Bale kwa msimu huu ni kutokana na kuzorota kwa uhusiano wake na meneja Zinedine Zidane, japokuwa hili halitajwi sana, lakini limeathiri mipango ya Zidane juu ya Bale ambaye amekuwa akiwekwa benchi kwa mda mwingi kabla ya kumalizika kwa msimu uliopita.

Gareth Bale

“Hakuna ninachojutia kwa yale niliyoyafanya, haijalishi chochote kilichosemwa na yeyote yule. Hiyoi ni juu yao.Ninafahamu mtazamo wangu juu yangu na familia yangu inanifahamu vyema. Hayo pekee ndiyo ninayojali” –

Nyota huyu mwenye miaka 31, ambaye amecheza mechi 20 kwa msimu uliopita na Real Madrid, anatazamia kufanya makubwa EPL akiwa na Spurs.

 


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

40 Komentara

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Safi sana piga kazi piga kazi hadi madrid wajute

    Jibu

    Bale yunashukuru sana mashabiki wako kusikia hivyo piga kazi ili ukamilishe ndoto zako

    Jibu

    Guuud

    Jibu

    Bale yupo nyumbani

    Jibu

    Good

    Jibu

    Yuko vizuri

    Jibu

    Bale yupo nyumban

    Jibu

    Hakika hakuna cha kujutia Piga mzigo

    Jibu

    piga kazi bale

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Nikweli mzee baba Bale anachokiongea kipo sahii

    Jibu

    Bale tunategemea makubwa kwako ukiwa spurs.uko uko.

    Jibu

    Yuko vizuri

    Jibu

    Bale namwaminia sana

    Jibu

    Madrid watamkumbuka bale kwa mchango wake kwani ameweka timu kwenye nafasi nzuri kwahyo atajuta huko aliko zaidi ya kusonga membe

    Jibu

    Bale karud nyumbani

    Jibu

    Bale amerud nyumban lazima atambe

    Jibu

    Bale Yuko vizur

    Jibu

    Professional player

    Jibu

    Yuko vizuri

    Jibu

    Good

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Yupo vzr

    Jibu

    Natumai real Madrid wataendelea kumkumbuka Bale kutokana na mchango mkubwa.

    Jibu

    Bale yunashukuru sana mashabiki wako kusikia hivyo piga kazi ili ukamilishe ndoto zako

    Jibu

    Piga kaz kijana

    Jibu

    Bale anakazi ya kudhihirisha tena kuwa yeye ndio King wa White Hart Lane akiwa na Mourinho

    Jibu

    Kijana Yuko vizuri sana

    Jibu

    Piga kandanda mashabiki tunakuelewa!!

    Jibu

    Kijana yupo makini na kazi yake

    Jibu

    Bale ni mchezaji mzuri sana

    Jibu

    Good

    Jibu

    Bale is back EPL#meridianbettz#

    Jibu

    Nice

    Jibu

    bale ataki kabisa utani anapamban ili uwezo wake kimpira usishuke aswa akiwa nyumbani

    Jibu

    Welcome bale white hart Stadium

    Jibu

    Bale kiwango kingine yupo fiti karibu hm kijana

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.