Meneja wa Tottenham, Jose Mourinho, anataka kuhakikisha anatengeneza uwiano mzuri wa kikosi chake kwa nafasi zote muhimu anazozihitaji kikosini hapo.
Mourinho amesema licha ya kuwa ana wachezaji wengi kwenye vitabu vyake na tayari ameshakamilisha sajili tano, bado anahitaji sajili angalau 2 zaidi.
Spurs wamekuwa katika mazungumzo na Inter Milan, juu ya kuipata saini ya Milan Skriniar, lakini wanaendelea kuwepo sokoni kumsaka straika atakayechukua jukumu la Harry Kane.
Wakati siku zikiwa zimebaki chache kwenye dirisha la usajili, Mourinho anaamini watautumia vyema mda huu kuhakikisha wanakipata wanachokihitaji sokoni.
-Jose Mourinho
“Soko bado liko waz, tuna kikosi bora. Tunaweza kuwa na kikosi bora zaidi ya tulicho nacho sasa? Ndiyo tunaweza. Klabu inajaribu kuweka uwiano kwa kikosi kama tunavyotaka kiwe, ndiyo tunajaribu, ngoja tuone.”
Mpango wa awali wa Mourinho ni kushinda mechi zote zilizopo mbele yake wakati akiendelea kuboresha kikosi.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Flomena
Good news
Fatuma kasomo
Gud
Hopemwaikuka
Ni jambo zur tu
Adelta
Ni jambo zuri
Janeflora malisa
Nice
Sauda
Safi sana
Amiri Kayera
Kikos anacho uwiano t
Neema
Ni jambo jema
David Pere
Mpango wa awali wa Mourinho ni kushinda mechi zote zilizopo mbele yake wakati akiendelea kuboresha kikosi.
Asia Abdy
Nice
Ernest
Spurs wanaweza wakawa na kikosi bora na cha ushindani lakini kisiweze kufanya vizuri kama Mourinho anavyotegemea, Kwasasa Soka la Uingereza lina ushindani mkubwa Mourinho anakazi ya kufungua kurasa zake za mwisho alizoweka kama Akiba kurudisha heshima yake katika ulimwengu wa Soka na Heshima ya Spurs ndani na nje ya Uingereza, Tusubiri tuone
Fatina mfigi
Safii
Lydia Emmanuel Magoti
Itakuwa vizuri sana
Caroline
Jose Mourinho tengeneza kikosi chako
Rehema
Gud news 👍
Tatu
Mourinho ingawa ana wachezaji wengi lakini bado ajakamilika idadi ya wachezaji
Elika
Jambo jema hilo
Mwajumah
Ni jambo jema
felister
safi
Nasra
Gud
aisha
Jose utaweza kusawazisha hayo mambo sprus au ndio maneno tuu
Gabriel
Mourinho anakazi ya kufungua kurasa zake za mwisho alizoweka kama Akiba kurudisha heshima yake katika ulimwengu wa Soka na Heshima ya Spurs
Rose kapinga
Safii mourinho!!
Zeiyana
Mourinho akiamua hanaweza ni kocha mwenye uwezo mkubwa
Angelina
Gud
Hidaya
Iko poa
Issa
Inabid wafanye usajili wa maana watu wataowez kusaidian na kane na son kwakuwa hao watu wametumika sana misimu miwili iliopita
Theonestina
Good
Mariam mtandama
Safi
Sabrina
Inapendeza
Saupha mohamed
Safi
Sauda
Vizuri sana
Theckla
Vizuri Sana
Khadija
Atakuwa amefanya zuri
magdalena
kama kaamua kupambana ili kikosi chake kikae vyema sawa ila asituletee mambo yake alokuwa anayafanya katika vikosi alivyotoka
Povel
Spurs Wana jambo lao msimu huuu
Dorophina
Mourinho kikosi anacho tena cha kutosha tu sema ajakipanga vizuri kikosi chake
Salma ngende
Ni jambo zuri