Nyota wa Paris Saint-Germain, Neymar atarejea dimbani Jumapili kwenye mechi ya PSG dhidi ya Reims.
Nyota huyu anarejea baada ya kuitumikia adhabu yake ya kukosa mechi mbili baada ya vurugu mechi lililotokea kwenye gemu ya PSG dhidi ya Marseille mapema mwezi huu. Mechi hii ilishuhudia jumla ya kadi nyekundu tano, na Neymar akiwa miungoni mwao.

Timu yake imefanya vyema na kushinda mechi zao zote za Ligue 1 wakati nyota huyu akiwa nje ya uwanja. Tuchel anaamini kuwa na nyota huyu pamoja na Mbappe, kwa pamoja kunaleta mabadiliko makubwa kikosini.
“Wanapocheza Neymar na Mbappe inabadilisha kila kitu kwetu. Kama wote wakicheza, kwetu ni shida kuzuiwa na rahisi kushambulia. Tulipata utatuzi wa kucheza bila wao wote na tulianza kufanyia kazi kwenye Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi” -Thomas Tuchel
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Neema
Inapendeza kama anaongeza nguvu upya
David Pere
Wanapocheza Neymar na Mbappe inabadilisha kila kitu kwetu. Kama wote wakicheza, kwetu ni shida kuzuiwa na rahisi kushambulia. Tulipata utatuzi wa kucheza bila wao wote na tulianza kufanyia kazi kwenye Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi” -Thomas Tuchel
Sauda
Tena kwa kishindo Neymar..
Asia Abdy
Safi sana
Fatina mfigi
Safi sna neymar!
Ernest
Sasa huenda PSG wakapata ahueni kidogo na kurudi kwenye winning form yao
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri jembe kulejea kufanya kaz PSG itakuwa ipo sawa kwaviungo wao kuludi kupiga kaz
Caroline
P.S.G watakua wamefurahi kweli Neymar mkombozi wao
Zeiyana
Habari njema kwa mashabiki wa PSG
Rehema
Ni Jambo zuri sana
Tatu
Game litakuwa kali mashabiki tulikuwa tunasubili kwa hamu kumuona neymar akilejea tena uwanjani
Elika
Dah safi sana inapendeza zaidi
felister
karibu tena neymar tulikumisi
Mwajumah
Safi sana Neymar
aisha
Naona psg watakipiga ipasavyo maana wamepata jembe la kibabe
Nasra
Neymar yupo vzuri
Rose kapinga
Neymar kama neymar jeshiiiii
Adelta
Neymar Yuko vizuri na anajituma kwenye kazi yake
Angelina
Safi
Hidaya
Habari njema kwa mashabiki wa PSG
Gabriel
Me ninamatumain na hao huku Neymar kule mbappe hatar sana 👍
Hopemwaikuka
Haya Neymar kapambane tena
Issa
Msaada wake psg ni mdogo aonyesh uthamani wake si neymar wa kitambo kile alivykuw barca
Theonestina
Habari njema
Mariam mtandama
Safi
Amiri Kayera
Injini ya team imeludi
Sabrina
Afadhali aje kuibusti PSG
Saupha mohamed
Jambo zurii
Fatuma kasomo
Safi
Theckla
Habari njema
Khadija
Safi sana
Janeflora malisa
Vzr sana
magdalena
neymar yupo vizuri sana ila apunguze sifa ndo zinazomponzaga
Povel
Habar njema kwa wapenzi na mashabik wa psg
Tahiya
Iko poaw sana iyo
Dorophina
Ajitahidi neymar asirudie tena makosa
Salma ngende
Habari njema
Shani
Makin sana na vizur kufatilia