Kwa mujibu wa gazeti la La Gazzetta dello Sport, Benjamin Pavard amepuuza ofa ya Manchester United, wakati Inter wanaweza kuinasa saini yake leo.

The Nerazzurri wameongeza ofa yao kwa Bayern Munich na kwa mujibu wa vyanzo kadhaa nchini Italia, wana uhakika wa kumsajili beki huyo wa Ufaransa hivi karibuni.
Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.
La Gazzetta dello Sport inadai klabu hizo mbili zinaweza kupeana mikono leo, ingawa Bayern Munich bado wanahitaji kupata mbadala wa mshindi huyo wa Kombe la Dunia 2018.

Pavard anataka kuondoka na mkataba ukiisha Juni 2024, hii itakuwa nafasi ya mwisho kwa Bayern kumuuza mchezaji huyo kwa ada nzuri ya uhamisho. Kwa mujibu wa Gazzetta, Pavard ametanguliza kuhamia Inter, akikataa ofa kutoka kwa Manchester United.
Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.
Beppe Marotta alithibitisha Jumamosi kwamba mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 anataka kujiunga na Nerazzurri huku mpatanishi Giovanni Branchini akidai kuwa kitu pekee kinachokosekana kufunga mkataba huo ni Bayern Munich kusajili beki mpya wa kulia kuchukua nafasi ya beki huyo wa Ufaransa.

