Samatta Ahusishwa Kurejea Genk.


Vyombo vya habari nchini Uturuki vinaripoti kuwa Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta anaweza kuondoka katika klabu yake ya Fenerbahce baada ya benchi la timu hiyo kutoridhishwa na kiwango chake.

Tangu atue Fenerbahce kwa mkopo akitokea Aston Villa ya Uingereza amefanikiwa kucheza mechi 23 na kufunga magoli 4 tu kwenye ligi kuu ya Uturuki.

 

KRC Genk ya Ubelgiji imetajwa ndio klabu pekee inayohusishwa na kumhitaji Mbwana Samatta na inataka kumrejesha katika dirisha la usajili mwezi Juni 2021.

Kwasasa, Fenerbahce inashika nafasi ya 3 ikiwa na alama 59 nyuma ya Besiktas wenye alama 64 na Galatassaray alama 61 mtawalia.


Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

CHEZA HAPA

9 Komentara

    Aende tu

    Jibu

    Sammata mbona una tuangusha mashabiki wako

    Jibu

    Si walimuondoa saiv imekuwaje

    Jibu

    Sawa tu akienda

    Jibu

    Sense tuu

    Jibu

    Bora

    Jibu

    Hiyo ndio fursa ya kwenda huko

    Jibu

    Nimamuzi ya wakubwa na baina yake yeye

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

Acha ujumbe