Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amefunga bao lake la kwanza ndani ya kikosi Cha Royal Antwerp ya Ubelgiji katika mchezo wa Kombe la Europe dhidi ya Olympiakos ya ugiriki.

Hili linakua goli lake la kwanza kwa klabu hiyo tangu ajiunge nayo akitokea klabu ya Fenerbahce FC ya Uturuki katika majira ya kiangazi.
Samatta anakuwa Mtanzania wa kwanza kufunga bao katika Michuano hii mikubwa Ulaya baada ya kufanya hivyo UEFA Champions League akiwa na Genk ya nchini Ubelgiji.
Olympiacos 2-1 Royal Antwerp 🇧🇪
⚽ 52′ Youssef El Arabi
⚽ 75′ Mbwana Samatta
⚽ 87′ Oleg Reabciuk
🟥 90+1′ Jelle Bataille
Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!


