Simba : Manara Out, Kimwaga In.

Klabu ya Simba SC imemteua Ezekiel Kimwaga kuwa Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Klabu hiyo kwa kipindi cha miezi miwili baada ya Hajis Manara kuondoka Simba na kuachia nafasi hiyo.

Katika kipindi hicho cha miezi miwili Kamwaga atashiriki katika maboresho ya muundo wa utendaji wa Idara hiyo akiwa ni Mwandishi wa Habari mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 15 kwenye tasnia ya habari akifanya kazi katika Vyombo vya Habari vya ndani na Kimataifa.

Taarifa ya Simba SC imesema Kamwaga anaijua vizuri timu na historia yake kwani amewahi kuitumikia katika nafasi za Msemaji wa Klabu na Kaimu Katibu Mkuu wa klabu hiyo.


KUWA SHUJAA KATIKA KASINO ZA MERIDIANBET!

SHOOT! mchezo unaokupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.