Kikosi cha Simba SC, kimepoteza pointi tatu muhimu ugenini baada ya kufungwa mabao 2-0 dhidi ya RS Berkane katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Uwanja wa Manispaa ya Berkane nchini Morocco.

 

simba sc, Simba SC Yakubali Kipigo Shirikisho., Meridianbet

Simba SC ilianza mchezo huo kwa kasi ya chini huku wakiruhusu utawala kwa wenyeji Berkane na kufanya mashambulizi machache.

Wenyeji Berkane walipata bao la kwanza dakika ya 31 kupitia kwa Adama Ba baada ya kupiga mpira wa adhabu uliotinga wavuni moja kwa moja.

Dakika ya 40 Berkane walipata bao la pili kupitia kwa El Bahri kwa kichwa akimalizia mpira wa kona baada ya mabeki wa Simba SC kushindwa kumzuia kuruka hewani.

Kipindi cha pili Simba SC ilionyesha uhai katik asafu ya ushambuliaji kasi katika baada ya kuingia Bernard Morrison lakini hata hivyo ilishindwa kutumia nafasi zilizopatikana.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa