SIMBA: TUTAWALIZA WENGI MSIMU HUU

Uongozi wa Simba umebainisha kuwa utawaliza wengi msimu huu kutokana na uimara wa kikosi walichonacho ndani ya uwanja pamoja na benchi bora la ufundi.

SIMBA: TUTAWALIZA WENGI MSIMU HUU

Timu hiyo inanolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids baada ya mechi 8 ilionja joto ya kupoteza pointi tatu kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma 0-1.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Bao la kujifunga Kelvin Kijili dakika ya 86 akitumia krosi chonganishi ya Maxi Nzengeli mwenye mabao matatu ndani ya ligi lilitosha kuizamisha Wekundu wa Msimbazi kwenye Kariakoo Dabi.

SIMBA: TUTAWALIZA WENGI MSIMU HUU

Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa wanaamini wataendelea kuwa kwenye ubora wao mechi zote wakiwaliza wapinzani kwa kuacha pointi tatu.

“Tumetoka kupata ushindi dhidi ya Namungo moja ya timu imara hivyo kazi inaendelea ni muda wa Ubaya Ubwela kuwa kwenye vitendo nab ado watalia wengi sana msimu huu.”

Acha ujumbe