Sturridge Ajiunga na Perth Glory.

 

Mchezaji wa zamani wa Chelsea na Liverpool, Daniel Sturridge amekamilisha usajili wa kujiung ana klabu ya Perth Glory inayoshiriki ligi kuu ya Australia.

 

Sturridge, 32 amekuwa bila timu kwa mwaka mzima tangu 2020 baada ya kufungiwa alipokuwa akiichezea klabu ya Uturuki wa Trabzonspor.

Klabu ya Perth Glory wamethibitisha kumsajili mshambuliaji huyo huku ikitajwa unakuwa moja ya usajili mkubwa kutokea katika ligi kuu ya Australia.

“Ni nafasi ya kipekee kwaajili ya changamoto mpya” Surridge alisema katika taarifa iliyoandikwa na klabu.

“Nafasi inapokuja unahisi ni kitu sahihi cha kufanya, kupeleka kipaji changu sehemu nikakayo furahia mpira wangu katika ligi nzuri na kusaidia mafanikio ya timu kwa kadri nitakavyoweza.

“Nitaenda kuweka ubora katika mguu wangu, kujituma na kuisaidi atimu katika kila mchezo utakaokuja baadae tutaona nafasi tutakayomaliza.

“Nina hamu ya kucheza katika uwanja wa HBF Park na tumaini kuweka furaha katika nyuso za walio wengi.” iliandika taarifa hiyo.


SPACE SPIN NA MERIDIANBET.

Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.