Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya Niger katika Mechi ya Kufuzu AFCON 2023 kwenye Uwanja wa de L’amitié Jijini Cotonou, Nchini Benin.

 

tanzania, Tanzania Yaanza na Sare Kufuzu AFCON., Meridianbet

Tanzania ilitangulia kupata bao katika dakika ya kwanza mfungaji akiwa ni George Mpole, wenyeji waliotumia uwanja wa Nchi ya jirani walisawazisha kupitia kwa Daniel Sosah dakika ya 26.

Mchezo huo ni wa Kundi F, timu nyingine katika kundi hilo ni Algeria na Uganda amabao ulimalizika kwa mwenyeji Algeria kuibuka na ushindi wa magoli 2-0.

Mchezo ujao wa Tanzania ni Jumatano ijayo Juni 8, 2022 dhidi ya Algeria Jijini Dar es Salaam.


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa